Duration 25:10

EBITOKE afunguka sababu za kumvamia Mlela, atoa siri nzito/ningemkatakata

73 644 watched
0
569
Published 12 Nov 2019

#ebitoke #mlela Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24 #Dar24Media

Category

Show more

Comments - 394
  • @
    @reginamassawe97415 years ago Team kipigopamoja wanaume kucheza na hisia zetu kwa sasa ni mwisho. 63
  • @
    @nasrinasri17825 years ago Nimejiunga na team vipigo kama uko pamoja na mimi gong like yako hap twende pamoja. 80
  • @
    @ndayishimiyejeanette95955 years ago Eh dada ebi ndomana nakupendaga sana never give up endelea kupambania haki yako mama. 17
  • @
    @ayshaswalekh91975 years ago Pole ebi mungu atakupa mtu sahihi kuwa na subra tu. 26
  • @
    @josephaloyce38985 years ago Jaman mtangazaji waniteka na sauti yako. 3
  • @
    @mercysamuel92905 years ago Na sura yake, ndefu kama mkojo wa mbwa, ha tokemarioo, noma sana. 15
  • @
    @bernardinaa75655 years ago Safi ebihakuna kuchezea watoto wa kike. 34
  • @
    @nzeyimananyota15225 years ago Piga wanjiga kama wa mlela niwengi muno. 15
  • @
    @rukiamsomi68695 years ago Niachie nimuonyeshe msenge uyoo lkn ebi mzuri mashallah. 5
  • @
    @rachaelsabiti56155 years ago Ebitoke you need to be strong my dear
    youre so beautiful than that girl
    and youre still young.
    35
  • @
    @mgenisuleimani91735 years ago Pole sana dadaangu ndowalivo baadh ya wanaume unapomsaidia kwakilakitu baadae anakuumiza km ivyo.
  • @
    @marthaemmanuel33235 years ago Ebitoke umefanya vzr sana umetoa onyo kwa wanaume wanaopenda kuchezea hisia za watu. 2
  • @
    @boazjoseph21755 years ago Unaweka mafuta nini dadeki kinoboyz
    mpo vizuri.
    8
  • @
    @sarapaul33665 years ago Yanii kile kiwigi ulivyo kinyofoa kama mboto mzee wakiwigi nyofoa kiwigi dah! Ebitoke umejua kunikosha mama dai vyako. 44
  • @
    @joviaajuna45445 years ago Hongera sana dada ebitoke kaza buti na vitu vyako ataludisha.
  • @
    @musaalfani93035 years ago Mwana haluna nmekukubali mkali endelea kuwakilisha toka enzi hzo kwa katika im real proud of u bro. 1
  • @
    @asiansky47865 years ago Ebi pole sana mdogo wangu haoo ndowanaume mie dada yako niko nje yanchi natafuta maisha ishu yako imenitachi sana. Mimi yalinikuta baada yakuwa namausiano . ...Expand 25
  • @
    @rich30515 years ago Team kipigo oyeee tuko pamoja dada ebitoke usijali allah atakusaidia.
  • @
    @kamgomoli36505 years ago Ila kiibitoke kinaonekana kinaakili kwa mbali! 7
  • @
    @linahchuwa45065 years ago Niunge na mm tuko pamoja team kipigo waoyoo, wanaume mtatukoma. 4
  • @
    @jamlaashiri3725 years ago Pole uwapende tena wasanii wa bongo wanapenda kulishwa.
  • @
    @theresiajustine26715 years ago Hahahahahaha! Tim kipigo safi saana, nampak mkome. 2
  • @
    @shakiraissa79435 years ago Hata sio ujinga mapenzi yana ngv sana pole mamy. 1
  • @
    @asiakheir64065 years ago Ha mtangazaji umenifurahisha unaogopa kipigo ebitoke ukoju! 5
  • @
    @atuganileswedy48305 years ago Mtangazaji sauti yako inanivuruga kichwa. 9
  • @
    @hitrelgustavo98875 years ago Yan we uyo umemuonea uluma ivi ningekua mimi yani mikojo angeita juice ya embe angenitambua vizuli. 8
  • @
    @deboramrema28615 years ago Na mm mataka kuungana na hiyo timu kipigo. 21
  • @
    @aishaa66645 years ago Ndugu yng ebi pole lkn ao ndio wanaume hawabebeki ikisha wanateleza pole sana. 3
  • @
    @johaynamohamed32445 years ago Ni kweri kabisa. Mana siku izi wanawake tunazaraulika sana. 3
  • @
    @franktimothkisimbo53545 years ago Polee saan mm nimefurahi zaidi kumvua wigi. Msivae mawigi mtaumbuka.
  • @
    @khalidsalum17405 years ago Nazijuwa hisia nazielewa pia hia na naheshimu pia kwani ukiwacha kipigo kiutu sii poa na kiungwana piaa. 11
  • @
    @nakintijedancilanakintijed49655 years ago Nakubali ebitok wape vichapo uyo mshenzi mlela ajuwi kujinunuliya viatu mlela hanakitu anajuwa kudanga uyo mlela atakufa na ukimwi mlela ni. Boya. Uyo ni maryoo.
  • @
    @neemaantoni96845 years ago Nimependa msimamo wako mungu azidi kukulinda.
  • @
    @hawapascal78835 years ago Oyoo tim pambeee hy bila shaka niunge kuna mbwa 1 hivi anasumbua akili ya mdogo angu wanaume mnaopenda kuchezea wasichana popote pale ni mtaisoma mwaka huu.
  • @
    @veenndigwa75175 years ago Oyooh, niunge mama tuwanyooshee piga kabxa.
  • @
    @farajiyapesa80475 years ago Mashirika ndio muda wa kumpa ubalozi ebitoke pia apewe nafasi za ubansa. 5
  • @
    @ashahamisi58845 years ago Hahaha usisahau kunisain na mimi katika timu kipigo asha from zanzibar. Ulikokutana na huyo aliekupa jiraha. Unga timu tumpe kichapo.
  • @
    @tausinassibu74735 years ago Pole dada, mapenz ndo yalivyo kua makinitu dada huyo shoga we achananaetu kwanza hana mtonyo mariooo lile.
  • @
    @vailethkinabo79615 years ago Shikamoo ebitoke huku ar tunasemaga hizo ni machata chata. Unamfanya mtu net. Wanawake wote gim jamani wanaume watanooka lazima watadek na viyombo waoshee. 17
  • @
    @dwiny78415 years ago Ebitoke sio mugonjwa uyo Mlela kamuliya pesa amupe pesa zake kunakitu apo uyo Mlela ni umbwa atabaki kuwa umbwa mukiya mbele na nyuma Mlela mjinga huyo kweli leo Sasa Wasoma comments tujuane hapa@bossholland .. ...Expand 59
  • @
    @jaliakamote54855 years ago Mmm! Hlo lisauti la mtangazaji nahisi kama ebi anaweza kumvamia akahisi yusuph mlela. Lkn ebitke nzuri kuliko yule pimbi hapo bila mecap lkn kapendeza.
  • @
    @saidasaid58555 years ago Mh mahaba bwana miez mitatu ushatowa mahela yote ayo dah ayo c mahaba nahc ujinga. 1
  • @
    @fathiasaed47385 years ago Pole ebi yule mlela ana penda kulelewa tu.
  • @
    @kamgomoli36505 years ago Mwanaume wa dar anapigwa bit na mwanamke hadi anahama nyumba. Hatari sn.
  • @
    @estermwainyakule47495 years ago Pole mama pigania haki yako hata mimi moto hungewaka.
  • @
    @zakyahya46455 years ago Dah pole xn ebi unaumia najua ila usha mrarua yule dem nazani hasira zimeisha fanya mambo yako. 20
  • @
    @mayajumaaomaromar83555 years ago Team kipingo mupo, jamani mwanawake ukiona mwenzako ananyolewa narisha na kichwa chako, mwanaume sio waminifu pole sn ebi. 3
  • @
    @brigitamash20075 years ago Pole nimekuelewa kabisa mapenzi yana weza kukuzima maskio ukakosa kuskiza hata mzazi wako.
  • @
    @mamuchahe39385 years ago Wanaume hata uwaweke kwenye friji wataharibika tu! 2
  • @
    @ashuraamani26715 years ago Ha tem kipigo kwa wale matapeli kama mlela, mimekuelewa sana kinachokusua ebitok matmizi yapesa zako zilizokuwa zikitumika holela na danga la taifa, mlela . ...Expand 6
  • @
    @bongotv63845 years ago Mimi kama msemaji wa chama cha mabaharianmesikitishwa sana na hili tukio alilofanyiwa bahariasana mabaharia wenzake. 1
  • @
    @linahchuwa45065 years ago Niunge na mm tuko pamoja team kipigo waoyoo, wanaume mtatukoma dada bila kusahau.
  • @
    @jumakapilima56745 years ago Mh! Kwa ushauri huo utawaponza wenzako watafungwa!
  • @
    @daniellamutima43345 years ago Yoooho koma akuna mwanamuke anahonga mwanaume koma mapenzi yalikuwa zamani sio ya kisasa jamani mufunge mikanda ya kupigana jamani mhhh. 1
  • @
    @ndeitoimevaashi4165 years ago Kipgo kiendelee mwisho mwanaume kumuomba mwanamke pesa tah. 2
  • @
    @elizapanga95325 years ago Eti mlela na kuokotwa kote huna huruma? Jinga kweli. 1
  • @
    @aishasaid57025 years ago Jamani hawa wanaume mm sitasahau kwa kweli cna haja nao. 7
  • @
    @amashbaibe83615 years ago Ebitoke you are still very young and you definitely don' t deserve that silly guy. I see you like my daughter you have long way to go and god will bless you with another man uko cute dont worry.
  • @
    @fatumarajabu91755 years ago Hahahah acha nicheke yukuwap juma kalokola km ulimsikiy juma piga lak.
  • @
    @tausinassibu74735 years ago Ah ebi we toboatu hyo siri mbna si ktambo tunamjua huyo shoga?