Duration 10:19

ACT WAZALENDO WAMSHANGAA SUMAYE KURUDI CCM

2 568 watched
0
9
Published 14 Feb 2020

Vyama vya upinzani vimetakiwa kuwa makini na kuwachuja wanasiasa wanaotoka chama tawala hasa wale waliowahi kuwa na madaraka na kushiriki kuwahujumu wapinzani na kuwaminya kwakuwa hawawezi kubadilika na kuwa wazuri kwa wapinzani.

Category

Show more

Comments - 2