Duration 9:22

Padre Dkt KAMUGISHA-Inachekesha lakini Inafundisha/Usicheze na muda/kuwa Makini katika Umri huu.

13 362 watched
0
79
Published 28 Jun 2021

Hatupangi kushindwa,Tunashindwa kupanga. Hakikisha hukosi kufuatilia Magundisho ya Padre na Mwalimu Nguli wa Mafundisho ya Kanisa Dkt Faustine Kamugisha ambaye ni Paroko wa Parokia ya Minziro jimbo katoliki la Bukoba. Tutashukuru kuona maoni yako kwenye Comment ukimtakia neno la Baraka na Matashi mema katika utume wake ambao Mungu mwenyewe Amemuitia. #BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #PdKamugisha Breez Online Tv S.L.P 38655 Dar Es Salaam Tanzania Phone No: +255 756494796 Barua pepe: izackbreez11@gmail.com Mitandao Mingine ya Kijamii: Facebook: breez online Tv Facebook Link: https://www.facebook.com/Breez-Online ... Instagram:Breez Online Tv

Category

Show more

Comments - 13