Duration 4:43

MBATIA AMPA NENO RAIS SAMIA ISIISHIE KWA SABAYA, SHERIA ZIANGALIWE

38 731 watched
0
141
Published 6 Jun 2021

Waliokiuka haki za binadamu, si Lengai Ole Sabaya tu, wako wengi. Watu walikatwa masikio na ili kuondokana na haya, ifungue milango zaidi na kwa wengine waliohusika wachukulie hatua- James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 238