@sharinv88643 years agoBaba levo siku hizi ww ndiye mr speaker sir wa shishi ama vipi baana. 5
@
@sagengejackson36233 years agoChawa pro max kwamba nuh kapungua sana uwezo ha haa. Tatizo nuh hana helaa, . 10
@
@eliyazacharia76603 years agoKwani nuh ulivunjia bikira yako kwa shish mbona unasumbua akil za watu kaka, ushaambiwa huna pesa broo, itafute atakuja mwenyew. 3
@
@aishajumaa61053 years agoBabalevol" sawa umeeleweka, je? Wewe nimsemaji washilole au nivip? 11
@
@mwanjekeyz86713 years agoBaba levo jambo likiwa mahakaman hairuhusiw kuliongelea apo umetengeneza tatzo uncle.
@
@mussaagrey56793 years agoMkaushieni janja, mpotezeni aisee jela sio poa. 5
@
@gerry_macopper38083 years agoSasa hapo we inakuhusu nini baba levo?
@
@officialkimaro50013 years agoWatu wengn wanakosaa cha maan nakuanza kutaft kiki zakipumbavu maan cjapenda. 1
@
@felixochungo56563 years agoNaomba baba levo aaje kuingilia. Akothee. 4
@
@udaku..travel85063 years agoWewe baba levo nikuwadi wa shilole hanis ww.
@
@igormbida1473 years agoNa diamond hasi waze wasafi ni label ya nguvu sana east africa kwani kwa ma saa kidogo anaweza ku furuya ingawo ma maneger zake hata michael jackson ali kwisha.
@
@lovvy8543 years agoShillole niuleule tu haezi kuheshimu ndowa zake ndo maana anaolewa akiachwa kazoeya kuowa siokuolewa subirini matokeo. 1
@
@mbwanakiting71803 years agoSasa wewe mbona unamkashifu uende mahakamani au.
@
@igormbida1473 years agoNinyi wasafi huko tanzania mkitakiwa kuendelea inaomba? Kuacha kusema mambo ya sio na maana? Kwani mwana muke aki penda ana penda kwanini kumu nganganiya?. ...Expand
@
@mathewdyzymaleyafrica91283 years agoHuyu chawa faking sana hamisa alikua ni mtoto wa mtu ulimwitaje.
@
@igormbida1473 years agoNinyi wasafi huko tanzania mkitakiwa kuendelea inaomba? Kuacha kusema mambo ya sio na maana? Kwani mwana muke aki penda ana penda kwanini kumu nganganiya?. ...Expand
Related videos for BABA LEVO : MJENGO WA DIAMOND, WATAKAA KIMYA / NUH MZIWANDA TUNAMPELEKA MAHAKAMANI: