Comments - 127
  • @
    @AbdulAbdul-pr9qe4 years ago Mie ni muislam ila huyu mchungaji ni mfano wa kuigwa na wachungaji wote, mafundisho yake anafundisha hadi wasiokuwa wakristo, binafsi namuelewa sana mgogo. 50
  • @
    @kevokipanya48084 years ago Mtumish amen kwel unayo sem naumen fumbua sasa asnt mtumish mungu asid kukup upeo wakutufundish sisi kondoo wako. 2
  • @
    @marketphone63534 years ago Amina na mm namuerewa san mungu awe naye na ampe miaka 2000. 5
  • @
    @asentusodhiambo96214 years ago Bwana yesu apewe sifa, tunashukuru sana mafunzo ya dharura tunaiyoipokea. 1
  • @
    @lucasleonard52904 years ago Nime kufuatia sanayako yapo tofauti sanamahubiri yao ni yamaari. 2
  • @
    @sophiemulebinge33504 years ago Mafundisho aya yana tujenga sana. Mungu akubariki baba.
    nakufata, nikiwa congo.
    2
  • @
    @anethkalokola57772 years ago Ubarikiwe mtumishi injili yako ya ukweli mtupu sema tupone.
  • @
    @jaclinsimon99992 years ago Asante ubarikiwe maana najua utafanya wanaume wengi.
  • @
    @brigithaassenga51914 years ago Ni kweli baba nikikumbuka mapito niliyopitia mungu mwenyewe anajua kwa sababu yeye ndoasante jehova shama kutupa mchugaji mgogo. 2
  • @
    @esperancekavira85482 years ago Mungu akupee maoni zaidi na zaidi mchungaji.
  • @
    @irenesimon91073 years ago Kweli muchungaji ingekuwepo kipimo sijiwi ingekuwaje kweli mungu atuhulumie. 1
  • @
    @annamrima55074 years ago Ameen mchungaji mungu akubariki na akuinue zaidi. 1
  • @
    @bahatimmependezamwanginda52024 years ago Kupitia mahubiri yko wengi wanaponywa, wanaosema husomi maandiko wanakuonea wivu
    achana nao, piga kaz baba songa mbelee.
    1
  • @
    @nyaxx383 years ago Ama kwa kweli neno hili ni la kweli kabisa. Mungu atusaidie.
  • @
    @irinewafula15574 years ago Waa! Ukweli kabisaa unasema, maji moto ya kuoga hahaha kweli mchungaji. 2
  • @
    @irenemacha74574 years ago Jmn wanaume wanatunyanyasa sana tukwila na mumbai.
  • @
    @focuseric41094 years ago Yan upo sahihi ata mm niseme ukwel wa mungu nilikua ivo lkn ss kwasababu yako nimebadilika yani nasema kwel yamungu kasoro tu kumuamsha asubui lkn mengine nimo na nungu anisamehe. 2
  • @
    @eliasmsese76944 years ago Yes bshop daniel mgogo nakbal sana mahubili yako bless. 1
  • @
    @jamessila32192 years ago Sasa kama maisha ya doa ni hivi nitaoa.
  • @
    @christinekituyi98262 years ago Ile hekima uko nayo pastor si ya kawaida.
  • @
    @josephineabedi81004 years ago Uwambiye wale wa baba walisha tutesa wala hawajuwe kuomba msamaa kama wamekosa.
  • @
    @hanningtonedagwa86364 years ago Mahubiri yako bishop yatosha umehubiri ukweli kabisa. 1
  • @
    @lubungaetienealmasi10594 years ago Nipo canada ila wanga nakufatilia sana mungu akubariki. 1
  • @
    @koshnmjomba37024 years ago Hapa mchungaji, umetupiga goal kumi bila.
    lakini heri akuambiaye kweli ukakasirika kuliko rafiki anaye kudanganya na ukapotea miondoko.
    2
  • @
    @irenemacha74574 years ago Mgogo sijui nikununulie soda? Hujawai kukosea. 3
  • @
    @cheiknamouna20584 years ago Waambie tu baba ili usije ukaulizwa kwa nini uliona ukanyamaza. 1
  • @
    @irenemacha74574 years ago Nikweli mchungaji mwanaume anakuacha na mimba ya miezi 9 bila hata huruma anasafir kwenda kula bata anakuacha unahangaika usiku kucha msaada anaokupa anakwambia . ...Expand 1
  • @
    @lydiahann17374 years ago Mungu akumbaliki mchungaji na azindi kukupa ufunuo uendelee kuieneza ijiri. 2
  • @
    @irenemacha74574 years ago Nikweli mchungaji mwanaume anakuacha na mimba ya miezi 9 bila hata huruma anasafir kwenda kula bata anakuacha unahangaika usiku kucha msaada anaokupa anakwambia . ...Expand 1