Duration 1:50

WAKURUGENZI WAAGIZWA KUHAKIKISHA WAFUGAJI WANAFIKIWA NA CHANJO

100 watched
0
1
Published 12 Jul 2021

#MichuziHabari #MichuziTV #KaziIendelee Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amewaagiza Mkurugenzi huduma za mifugo na mkurugenzi vetanary kuhakikisha Chanjo wanazozalisha zinawafikia hadi wafugaji wadogo vijijini ili zilete tija kwa kuwafikia wafugaji kwa gharama nafuu. Amesema hayo mjini kibaha mkoani Pwani wakati alipotembelea Kiwanda cha kuzalisha Chanjo za Wanyama cha Hester Biosciences Africa Limited. Mheshimiwa Ulega amesema kuna mifugo mingi kama kuku, ng'ombe hata mbuzi wanakufa kwa kuwa wafugaji hawajui kama nchini kuna chanjo zinazalishwa ingawa kuna maeneo mengine chanjo hizo hazijafika kabisa. Na Scolastica Msewa. KWA HABARI MBALIMBALI TEMBELEA: http://issamichuzi.blogspot.com http://mtaakwamtaa.co.tz http://michuzijr.blogspot.com INSTAGRAM: https://www.instagram.com/michuzitv_255/ TWITTER: https://twitter.com/MichuziBlog JE, UNA HABARI? TUTUMIEA KWA EMAIL HII ( michuzitv@gmail.com) Subscribe MICHUZI TV: /channel/UC6unnWmNahzSEGbRLleGQLQ

Category

Show more

Comments - 0