Duration 10:11

“Tunakuletea hotuba unakimbia, utaziweza tabia za Mandela wewe” –David Silinde

271 572 watched
0
855
Published 19 Jun 2018

Mbunge wa Momba David Silinde ni kati ya Wabunge waliosimama Bungeni leo kuchangia mapendekezo katika makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo amesema kama Serikali inahitaji kujenga uchumi na kuwasaidia wananchi wake ni lazima iwekeze katika zekta binafsi na sio kama inavyofanya sasa kwa kuzikandamiza.

Category

Show more

Comments - 210