Duration 2:8

Magoli yote | Yanga 2-0 Mlandege - Mechi ya kirafiki

146 732 watched
0
612
Published 16 Sep 2020

Timu ya wananchi, Yanga SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mlandege ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yamefungwa na Waziri Junior kwa penati pamoja na Mukoko Tonombe. Tazama magoli. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 69
  • @
    @amosikubyo78894 years ago Yanga huu msimu wetu . Yanga tujuane like 10
  • @
    @faizaahamd20524 years ago Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee raha sana Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee raha sana ukiwa mwananchi. Hongereni sana vijana wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 7
  • @
    @dadysteve90964 years ago Shuti kali sana kutoka kwa mukoko tonombe 4
  • @
    @Basagamp44 years ago Angalau leo Azam mmejitahidi,hua mnachelewa saaana 4
  • @
    @marrysaimon43304 years ago Bonge LA bao, asanteni yanga tupen raha mashabiki wenu 4
  • @
    @nicksomemo97834 years ago Kama ww ni yanga damu gonga like hapa, 7
  • @
    @sumahtanzania49914 years ago Yanga raha sana najisikia raha si raha hongereni sana vijana wetu ❤❤❤❤❤❤❤❤ 2
  • @
    @albethmligo69464 years ago Yanga baba laooo mnaionaje profeshinor tim wana yanga oyeeeee 5
  • @
    @zarunaamwanajimba19504 years ago Ashukuru kipa hajaugusa hivyo viganja cjui vingekuwaje maana mpira wa kilo 100 3
  • @
    @nackkitanji62254 years ago Young african is the greatest team of all time in tz💪 2
  • @
    @paschalmashimba35844 years ago Huo muwa wa mukoko noma Manula ajipange 4
  • @
    @kabamedestrong39174 years ago Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji naombeni kutazama video yangu kwa kugusa picha yangu I hope utaenjoy nakuomba u subscribe Ahsanteni sana 4
  • @
    @bakariomary3204 years ago Simba mmekula 2-1 msikoment upuuz huku 2
  • @
    @masanjayamakili16184 years ago Ninyi simba wenye Timu mliwafunga NGAPl mtibwa sugar?? Au IHEFU?? 1
  • @
    @primutumaini2194 years ago Get prepared our brothers psychologically on 18 October 2020.....something may happen....... 2
  • @
    @hemedmtunguja97884 years ago Shentembo ni mazina ya Kaya ivi ngw'eshu hambuuu 2
  • @
    @dennisdennis75594 years ago Eti simba imefungwa chaajabu hata mashabik wake hawajui 1
  • @
    @mathiasrumanyika78414 years ago Daaaah kwahyo nauli ya kuja mjini bukoba imepatikana tayari
  • @
    @morlovzeboy49264 years ago Jmn ushabiki kando iyo penet mpr umetoka kw kwel
  • @
    @highthemetv78574 years ago
    👆👆👆👆👆👆
    Lifahamu Kabila la DANI Kabila katili 😭ambalo ukifiwa unakatwa vidole kisha vinazikwa na mwili wa marehemu 😭
  • @
    @jumannemihayo55174 years ago Upuuzi mpira umetoka wanapewa penati duuuu waamuzi wetu hawa 1
  • @
    @taswiramedia4 years ago FILM BORA YA KISWAHILI
  • @
    @hktztv65194 years ago TUNDULISU ahaidi kutatua mgogoro wa Wakulima na wafugaji
    👇👇👇👇
  • @
    @nass.pofficial40864 years ago Naomba suport zenu
    Me ni msanii underground nmetoa nyimbo yng munipokee
  • @
    @coasteredward5614 years ago Hakuna timu apo zaid ya kikund cha wachezaji
  • @
    @loishiyesamwel13744 years ago Mh! Hakuna timu hapo. Mpaka friend March mnapewa penalty ya bure mpira ulishatoka huo.