Duration 5:47

AMEZUNGUMZA MAMA MZAZI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA ULINZI “WALINIFICHIA SIMU, BABA NI MGONJWA

42 158 watched
0
76
Published 6 Aug 2021

Tumempata Mama mzazi wa aliyekuwa Mbunge wa Ushetu na waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa,Frola Andrea ambae ameshare na sisi namna alivyopata taarifa za kifo cha Mtoto wake. Taarifa za familia zinasema ilibidi wamtafutie mtaalamu wa saikolojia ili kumfikishia taarifa za msiba huo

Category

Show more

Comments - 39