Duration 31:5

VIDEO HALISI YA VITA VYA KAGERA | | INATISHA ,INA HUZUNISHA SANA WATU WALIVYOFANYIWA SEHEMU YA PILI

254 589 watched
0
0
Published 26 Jun 2020

VIDEO HALISI YA VITA VYA KAGERA || INATISHA ,INA HUZUNISHA SANA WATU WALIVYOFANYIWA SEHEMU YA PILI Hii ni AFRICAN KID ONLINE channel inayokuletea mambo mbalimbali kila siku tazama video zilizopita kwa kubonyeza link hizo 👇👇 Simulizi Za Denis Mpagaze na Ananias Edgar 👉 /playlist/PLNueTRZ5UnUU0K_DgZ7SLtEOA9y4lNt9o Animals adventure👉/playlist/PLNueTRZ5UnUWyB8L69vvXbvuu9dFY5jHD Bongo comedy 👉/playlist/PLNueTRZ5UnUWMVv3KSjgkwYXocNf5QfgS Kali za joti👉/playlist/PLNueTRZ5UnUV7G7n2KkTj8EublTpAGXiO Breaking News👉 /playlist/PLNueTRZ5UnUUpjKC4NZQqT38oRZKkWTtC Mambo ya kustaajabisha duniani👉 /playlist/PLNueTRZ5UnUW2e4g5TH6lqRn9Lz-SEYqa Hot dancing clips 👉/playlist/PLNueTRZ5UnUWupzfDso5d9JNngBlSZFGu Kinemaster tricks👉/playlist/PLNueTRZ5UnUXm0uwMn_21UHrPz1AuDdw8 ======================= ~Copyright Disclaimer ~ Title 17, US Code(Sections 107-118 of copyright law, Act 1976); All media in this video is used for purpose of review & commentary under terms of fair use. All footag, & images used belong to their respective companies. ========================== All related issues please contact me through ;africankidonlinetv@gmail.com All rights reserved ©2020 AFRICAN KID COMPANIES

Category

Show more

Comments - 142
  • @
    @betrammwanga82502 years ago Hawa watu nawaheshimu sana waliojitolea kipindi hicho,wamenifanya leo niitwe mtanzania baada ya kuikomboa kagera ningejukuta nimezaliwa uganda, waliopoteza maisha Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi,na walio hai mpaka leo Mungu azid kuwapa afya njema 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 ... 21
  • @
    @dickaugustino22142 years ago Inafundisha sn, ivi ingekuwa ndo Sasa ivi ....Hawa viongozi wetu siwangekimbilia ulaya.Maana sioni viongozi wazalendo saivi zaidi ya wanafiki wakujipendekeza kwa Samia. 15
  • @
    @sadockchengula55422 years ago Dah! Hii solidarity na ujasiri + patriotism ya namna hii leo inaweza kupatikana kweli. Ebu tushuke chini kwa wananchi kama Magu alivyojishusha watu wajisikie nao wana mamlaka na Taifa lao. 15
  • @
    @elishajklast year TanzAnia nchi iliyo barikiwa ila tujitahidi kuiombea inajivunia kuwa mtanzania love you tanzania mwenyezi MUNGU akulinde❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 6
  • @
    @abuushakiraddausiy86662 years ago Alafuu wamkuta raia hivii aaanza kudharau jeshiii .......Hawa watu wamefanya kaziikubwaa sana ebu angalia maisha haya na yasasa tuanaishi kwasababu Kuna watu walipoteza mayshayao kwaajili yetuu tuioendeni San nchiii yetuu na tuheshimuu hiii amani iliyopooo alhamdulillah tumshukuruni mungu sana... ... 4
  • @
    @isaackmbunda78582 years ago Mwenyezi warehemu walio toa uhai kwajambo hili 3
  • @
    @user-pe1qv1sn5p3 weeks ago walio poteza.maisha ktka vita . hii mwenyezi mungu awarehemu awape.mahali pema.aamin
  • @
    @jamesjames23682 years ago I'm proud, nilichangia mbuzi wawili 💪 8
  • @
    @mussampeyama6795last year Hawa askari walifanya kazi mzuri sana katika nchi yetu lakini wamesaaulika na kwa Sasa asikari hawa wote walio hai mpaka leo maisha Yao ni duni sana tuiomba serikari iwakumbuke hawa wazee maana wote kwa Sasa hwajiwezi kwa lolote ... 1
  • @
    @shukurumsuwakollo2264last year Watanzania wa kipindi kile walio wengi waliipenda sana nchi yetu, wenye uzalendo mkubwa, watiifu kwa Serikali. Wenye kuheshimu na kuamini umoja wetu ndio silaha yetu watanzania. Mwenyezi Mungu Aendelee kutubariki tubaki hivyo daima. ... 8
  • @
    @sadamramadhan27544 years ago Hakika nyerere alikuwa kiongozi mwema sana 8
  • @
    @emmanuelndunjage48392 years ago Thanks to citizen of Uganda to cooperate with us .god bless them at all 1
  • @
    @safinkeyemba21742 years ago Mlifanya kazi kuubwa mungu awabariki sana(IVI HAO WATU BADO WAPO KWELI TUWE TUNAWAENZI 3
  • @
    @mr.content2662 years ago all mans in Tanzania we suppose to be soldiers like our elders👊 5
  • @
    @ayubunyota24622 years ago Nasikitika sana Leo hii Wakakamavu na Watu jasili wako mitaani na wala Pesa za maendeleo ya Nchi wanakimbilia Jeshini,, tunajifunza kitu hapa kwamba mtu wa chini kabisa kwenye Nchi yetu ndiyo mwenye uchungu kabisa kuliko walioridhika na kufanya Serikali yetu ni kituo cha biashara za waranguzi Kutoka watu wa Magharibi.. Rest and peacefully both of them. ... 2
  • @
    @hassanbilali16972 years ago Aisee wazalendo walikuwepo tulionao sasa ni walamaendeleo. 4
  • @
    @ayubumwakabana2137last year Napenda sana wliopigana hii vita walio hai mpaka sasa wangetafutwa waendelee kuhudumiwa na serikali
  • @
    @ramygichero10162 years ago Watu waliteseka namna hii alafu leo viongozi wanachezea rasilimali zetu ase kwa nini? 6
  • @
    @salummichael8711 months ago Sijawahi kuona nchi hii ilitokea mbali sana.
    Poleni sana wanajeshi wetu.
  • @
    @johnmahu5060last year Mashujaa Hawa serikali iwape fidia wengi bdo wpo wanajisikia vibaya jeshi Leo wanalipwa fedha nyingi haw ht Toyo hawana 1
  • @
    @christinalukwaro40622 years ago Daa uzalendo ulikuwepo enzi Hizo,Nilikua Mdogo nakumbuka , 2
  • @
    @jumaally42632 years ago Leo kiongozi mmoja anasema km unaona vp hamia Burundi. 1
  • @
    @rev.musabalalarogersmusabalala10 months ago Umoja, uzalendo na mshikamano vinaonekana hapa yaani kujitoa Kwa watanzania Nia asili yetu na tuilinde Tanzania
  • @
    @OmbeniShoo-kg8dr2 months ago Kazi imeisha tusubiri turudishwe utumwani kama uchumi tumeshindwa kujenga wa Nchi tukaona afadhali kuuza vipande Kwa waliotutawala muda utaongea
  • @
    @safinkeyemba21742 years ago Ingekua Kwa Sasa VIONGOZI wote ulaya kula Bata jamani Serikali iwafikirie hao watu kwakweli walipambana vilivyo 1
  • @
    @crayboytz27364 years ago Mmmmmmh mm silewe nmesikiaa tu
    Afcha
    2
  • @
    @salumsaid15452 years ago Utashangaa watu wanadai wapewe fidia kwa lipi kubwa? Kwani Kama hakufaidika yeye si ndugu na jamaa zake ndio wanaonufaika, huo ndio uzalendo sio ufanye kwa faida ya tumbo lako, waliopigania Uhuru wa nchi walijua kuwa tayr umri wao umeshapita lakini waliangalia maslahi mapana ya vizazi vijavyo. Panda mti utakaoleta manufaa hata Kama Una umri wa miaka 100. ... 3
  • @
    @user-qv9og1pb8k10 months ago 😢😢 hakika zipo dam nyingi zilimwangika lakini leo hii keki ya taifa wanafahidi wachache sana pengine hata
  • @
    @exprodigitaltechtv55712 months ago Now viongoz wetu wamegeuza nchi kama supermarket 🤣🤣🤣
  • @
    @hassanbilali16972 years ago Natamani serikali iwatafute wale wote walioshiriki vitani wakati huo na kuwapa fidia/kuwahudumia. 17
  • @
    @sammarley14132 months ago Vita vya kanisa cathilic dhidi ya waislm wazanzibar nakisha badae kumuondoa alhaji amin dada
  • @
    @pendomarco89282 years ago Wanaume hoyeeee wa enzi zileee, lakini wa leo wanatuvalia pensi mitaani na milegezo suruali 1
  • @
    @barakaelias11162 years ago Dar nimeshangaa loo kumbe ndo ilikuw ivi Mungu awastili jamn
  • @
    @alihamad60462 years ago Namwon mjeda anapig tollaa nahis emmbassy
  • @
    @tasilimahussein7849last year Hawa watu waliteseka sana Kwa sabanu hawakuwa na vifaa vya kisasa 1
  • @
    @georgemaduga24062 years ago Ingekuwa kwa kipindi hiki hakika tungekimbiwa wenzetu wangeenda ulaya na kutuacha wenyewe vita ikiisha wanarudiii 1
  • @
    @saimonwantango956911 months ago Serikali itabidi ije iwaangalie wale wote waliopigana vita hata iwalipe fidia familia zao kwa heshima kubwa walioifanya
  • @
    @sakinamwakanyamale55112 years ago Ulikuwa ni uzalendo mkubwa sana! Tena lilikuwa Taifa halisi! Kwa Sasa naviona vipande vya Taifa katika Taifa moja 1
  • @
    @timotweyf.malashi4567last year Huwa nashangaa nikisikia mwanamke anasema haki sawa mbn sioni mwanamke hapo
  • @
    @user-wv1pu4jo3klast month Mm baba yangu alipigana vita ya idiamini na paka leo yuko
  • @
    @hapyykatabi6423last year Jamani wengine tulipoteza wazazi wetu mpaka leo hajui
    .. l
  • @
    @joshuajofrey98322 years ago Endeleeni kuzulura ulaya MUNGU anawaona. 1
  • @
    @meshajoni56622 years ago Nchi yetu umetoka mbali sanaaa,,awa kina nchemba mwiguru,mngu anawaona, 1
  • @
    @willsonmadinda698511 months ago Never give up Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 I love you 1
  • @
    @johnsanga95282 years ago HALAFU KUNA MWANAMKE ANATAKA HAKI SAWA AJE VITANI AONE, TAZANA UKRAIN UTAJUA HUJUI...... 2
  • @
    @geraldstevenlimi26334 months ago Hakika Tanzania ni nchi yng....pia ndio Israeli nayo ijua mimi ....yeyote aliye kinyume na nchi yng ataangukia pabaya sana...
  • @
    @youngafracan99862 years ago tunakushukulu baba wataifa kwakutuletea huhulu kwautashi wako na busala zako 2
  • @
    @frankbinomutonzi912711 months ago Serikali iwatambue watu walioshiriki kuikomboa nchi yetu iwape fidia kazi waliyoifanya ilikuwa ngumu kweli lakini walijitoa kwelikweli 2
  • @
    @bonnyngowo75672 years ago Wakulima wafanyakazi na watoto wao wamesahauliwa 1
  • @
    @ramadhanisalum3898last year Nakumbuka nilikosa Nafasi kisa mfupu 😂😂😂
  • @
    @hawahabibu38812 years ago Uwo ndo uwanaume walikubal kuweka roho zao rehani kwa maslah ya taifa cyo Kaz ya kuvimba matumbo tu na kuzurula ovyo
  • @
    @djcobrasumu2730last year da watu walijitoa kwelikweli maana kwenye vita na msulii na huu zaidi ya uzalendoo
  • @
    @BarakaTuruka-qv9hn11 months ago H8233 nilishiriki Vita. Mazoezi Tabora kambiTAT
  • @
    @mumukinga8327last year nackia uchungu kuona watanzania WA zamani walkua na upendo WA kwel na nchi Yao
  • @
    @alihamad60462 years ago Da i see mm nilikua dereva wa hizo bus
  • @
    @rashidshamte-gj9tjlast year Viongozi tunaomba muwakumbuke hao waliopigana vita uganda kama kuna uwezekano wapatiwe malipo ili wakumbuke kazi kubwa walioifanya wakati huo
  • @
    @johnyagat9732 years ago Umeskia wakurya walivyo konga baada ya kushinda
  • @
    @nailatylast year Nataman kujiunga na jeshi nilinde taifa langu ila nafasi hawatoi
  • @
    @aronatv472 years ago Haaahaaaa Duuuh..!Hayo magari ukiambiwa Enzi hizo watu wanakimbilia Panda ..Leo.Yale te ujaribu tu Kuyaweka ubungo uoneeee kama itafika SAA 12 hujakata tiketi hat mojaa...
  • @
    @pendomarco89282 years ago Viongozi wa leo waoga wanajipebdekeza kwa mama Samia hasa wabunge tuliowatuma
  • @
    @user-hb8vi9fx6g2 years ago INAFUNDISHA SANA KUA VITA SIO LELE MAMA, LAKINI PIA TUTUNZE AMANI TULIO NAO JAPO TUNASEMA NI AMANI YA UOGA, KWA SABABU VITA IKISHAMILI MPAKA WASIO KUA NA MAFUNZO YA KIVITA PIA HUZOLEWA TU, HIVI HAO WENYE VIKOI SIKWENDA KUWAUA TU!!! ... 2
  • @
    @J4UPro2 years ago Mpaka sasa Watanzania niwamoja kwenye suala la nchi yao.
  • @
    @issackntacho7102 years ago Hii inafany nichukie kitend cha urusi ukrain
  • @
    @bonifaceliwali5066last year Natamani Leo itokee vita ili tuwaone hao wenye vitambi washinda kwenye V8 kutwa wataenda wapi mamaye zao
  • @
    @alihal-malkeal-malke70192 years ago I am upset because the white colonizers remain throughout Africa, the European colonizer is savage and looks at the poor peoples as insects and must be crushed,,, but I am happy that Tanzania overthrew me Amin the dictator who does not care about the affairs of the Ugandan people and does not establish food and clothing factories for them and recruits them for his futile wars. Ugandans live happily ...
  • @
    @richardzaidi704511 months ago MACHOZI YANANITIKA NIKIONA HALI HII,NIMEKEENDA VITA NIKIWA NA MIAKA 26 SASA NINA MIAKA ,69 NI MIAKA 43 IMEPITA,AHSANTE MUNGU 1
  • @
    @OmarMohamed-zf8dp2 years ago alie kueka wewe huru na uitwe mtanganyika muengereza ndio alowacha nnchiza afrika huru uganda hakuwa mtawala tanzania