Duration 2:35

VIDEO: UTANI WA MWIJAKU KWA MILLARD AYO WAKIFANYA SHOPPING KWENYE DUKA JIPYA LA MAX, PALM VILLAGE

12 307 watched
0
83
Published 24 Jul 2021

Ni siku ya July 23, 2021 katika Mall ya Palmvillage Mikocheni Kwa Warioba ambapo ulifanyika uzinduzi wa Duka Jipya la Max lililowakutanisha mabalozi na wadau wa GSM ambao ni Millard Ayo, Mwana FA, Ommy Dimpoz, Mwijaku na wengine ambapo baada ya Uzinduzi pia walifanya shopping , Play kutazama video.

Category

Show more

Comments - 5