Duration 6:37

Barnaba na Dulvani wapewa shavu TCRA, wameyaongea haya

1 649 watched
0
16
Published 30 Aug 2018

Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano ( TCRA CCC) kwa kushirikiana na TCRA imeandaa kampeni maalumu inayohusu elimu kwa watumiaji wa mitandaoni ya kijamii iliyopewa jina la BE SMART. Miongoni wa mastaa waliopewa shavu hilo ni msanii kutoka Bongo Flevani, Barnaba na Hamisa Mobetto pamoja na mchekeshaji Dulvani.

Category

Show more

Comments - 6