Duration 7:30

Mkate wa Mayai - Kiswahili

493 874 watched
0
2.7 K
Published 11 Jan 2017

Mahitaji: Unga wa ngano mweupe - MUG 1 Mayai - MUG 1 Sukari 1/2 ya mug Chumvi - kidogo Hiliki ya kusaga - 1/4 au 1/2 kijiko kidogo ( utakavyopenda) Vanila au arki utakayopenda - kijiko 1 kidogo

Category

Show more

Comments - 530