Duration 48:1

MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

23 037 watched
0
319
Published 1 Jul 2021

Isaya 15:1 [1]Ufunuo juu ya Moabu. Maana katika usiku mmoja Ari wa Moabu umeharibiwa kabisa na kuangamizwa; maana katika usiku mmoja Kiri wa Moabu umeharibiwa kabisa na kuangamizwa. Usiku mmoja unatosha sana shetani kuleta uharibifu kwenye maisha yako.Kwa usiku mmoja anaweza kuleta uharibifu ambao utakugharimu maisha yako yote. Kuna siri kubwa ndani ya usiku na ndio maana shetani huutumia vizuri wakati huu,ukijua siri hii usiku kwako hautokuwa ni muda tu wa kulala lakini utakuwa ni muda wa kutengeneza vizuri hatma yako.Awezaye kuitawala siku vizuri ni yule ambaye ameitawala siku katika usiku wa kuamkia hiyo siku. Lakini Mungu hakutuacha gizani bali ameweka wazi kwetu viashiria vya kukuonesha kuwa adui amepanga kufanya uharibifu kwako siku hiyo ili iwe rahisi kwako kutengua kila mpango wa adui. Karibu ujifunze Neno hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando ambalo litakuvusha kwa ukubwa sana. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ... Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:/channel/UCyVhAzjcFaJH7lxgiMQviGQ

Category

Show more

Comments - 28