Anayedaiwa Kuwa BABY MOM namba nne wa Diamond Platnumz amepatwa kigugumizi baada ya kuambiwa kuwa ndio baba wa mtoto wake Loreyna na Siku ya kina baba Duniani alimposti kwenye ukurasa wake wa instagram, Wikiendi iliyopita ameweka wazi kuwa ametumia zaidi ya milioni kumi kuspend wikiendi Zanzibar.